Latest News

Powered by Blogger.
Tuesday, November 4, 2014

TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE WENGI NI TIBA YA SARATANI

































Kulala na wanawake wengi kunapunguza hatari ya kupatikana na ugonjwa wa saratani ya kibofu cha mkojo,kulingana na utafiti.Katika utafiti uliochapishwa katika jarida la saratani,Watafiti kutoka chuo kikuu cha Montreal wamebaini kwamba ikilinganishwa na wanaume walio na mpenzi mmoja katika maisha yao yote, kulala na zaidi ya wanawake 20 kunapunguza uwezekano wa kupatikana na ugonjwa huo kwa asilimia 28
.
Wanaume 3,208 walishiriki katika utafiti huo ambapo kati yao Wanaume 1,590 walipatikana na ugonjwa huo kati ya Septemba mwaka 2005 na Agosti mwaka 2009.
Kwa jumla watafiti hao walibaini kwamba wanaume wenye saratani ya kibofu cha mkojo kuna uwezekano mara mbili kwa wao kuwa na watu wa familia zao wenye saratani 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE WENGI NI TIBA YA SARATANI 9 out of 10 based on 10 ratings. 9 user reviews.
Scroll to Top